Discuss & Debate | Share | Learn

www.ask.or.tz

Our Partners
#18987
Image

Katika uchaguzi huu wa milango miwili kutoka kwenye kitabu maarufu cha al-Bayan fi Tafsirul-Quran, cha Ayatullah Sayyid Al- Khui, mfasiri mwanazuoni huyu ameteua maudhui ya tahrif na ukusanwji wa Qur’ani. Kitabu hiki kilipokelewa kama kazi bora na wanazuoni wa Shia na wa Sunni halikadhalika, kikiondoa shaka yoyote katika vichwa vya wasomaji kwamba Qur’ani, kama nguzo kubwa inayowaunganisha Waislamu wote pamoja imekuja kudumu milele yate.

Wakati Sayyid Al-Khui anazitaja moja moja na kuzijadili Ahadith zote kugolga kwenye vitabu (vyanzo) vya Shia na vya Sunni pia, anahitimisha va ustadi kabisa kwamba kwa mujibu wa Hadithi sahihi na za kutegemewa, Qur’ani Tukufu imebakia kuwa safi, halisi na isiyovurugwa.

Jina la Kitabu : Ukusanyaji na Uhifadhi wa Qur’an Tukufu
Mwandishi : Ayatullah Sayyid Abul Qasim al-Khu’i
Mtafsiri : Ramadhani Kanju Shemahimbo
Mchapishaji : Al-Itrah Foundation
ISBN : 9987427251

PDF: https://www.shia-maktab.info/index.php/ ... ad&fid=406

Short tafsir on Suratul Faatir (The Originator ) -[…]

Hadith of the day

Imam Sadiq (A.S.)‏ اطْلُبُوا الْعِلْمَ وَ تَز[…]

Today marks the birth anniversary of Imam Hasan al[…]

Hadith of the day

Hazrat Muhammad Mustafa [s] said There are two vi[…]

Ask4help Counseling Helpline