Discuss & Debate | Share | Learn

www.ask.or.tz

Our Partners
#18904
Image

Bilal mwana wa Afrika aliyezaliwa Makka akiwa mtumwa wa mmoja wa Maqureish katili sana, alionesha ulimwengu jinsi mtu mnyonge anayeonewa anavyoweza kujikomboa kutoka kwenye makucha ya madhalimu.
Bilal aliyvumilia kila aina ya mateso kwa kumtegemea Allah (swt) mpaka akaupata uhuru wake na kulinda imani yake ya Uislamu.
Kumjua Bilal ni kuujua Uislamu, kwani Bilal ni katika watu wa mwanzo kabisa kumkubali Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w.) na Uislamu.

Jina la Kitabu : Bilal wa Afrika na Maswahaba wengine wa Afrika wa Mtukufu Mtume
Mwandishi : Husayn Malika Ashtiyani
Mtafsiri : Salman Shou
Mchapishaji : Al-Itrah Foundation
ISBN : 9987427030

PDF:
http://www.shia-maktab.info/index.php/e ... ad&fid=331
Ramadan Daily Duas - # 18

*Dua for Day 18 | Holy Month of Ramadhan* O Allah[…]

Short Tafsir on Maudhatain surahs - Suratul Fil an[…]

Short talk on Imam Hasan (a.s.) on the occasion of[…]

Amaal Eve 17th - (night preceeding day 17th) A ver[…]

Ask4help Counseling Helpline