Discuss & Debate | Share | Learn

www.ask.or.tz

Our Partners
#18768
Image

Hiki ni kitabu kifupi kinachoeleza imani na misimamo ya mashia kukhusu mambo mbalimbali.

Katika kitabu hiki, Sheikh Abdilahi Nassir amezieleza imani hizo na misimamo hiyo kwa mtindo wa suali na jawabu: sunni anauliza na shia anajibu.
Kati ya suali zilizojibiwa humu ni: Kwa nini shia ni tafauti na sunni? Kwa nini shia hufuata maimamu kumi na mbili? Kwa nini hawawafuati wale maimamu wane wanaofuatwa na masunni? Tafauti hiyo imeletwa na nini? Hali kadhaalika; ahlul bayt ni nani? Ni wake wa Mtume s.a.w.w.? Ni masharifu? Au ni hao maimamu kumi na mbili? Kwa ushahidi gani?

Kama Imam Al ii a.s. ndiye aliyekuwa na haki ya kuwa Khalifa wa Kwanza, mbona alinyamaza; hakugomba wala hakupigana vita? Kwa nini?
Na jee, maimamu wote kutoka katika tumbo moja tu (la Mtume Muhammad s.a.w.w.) si sawa na mfumo wa utawala wa Kifalme?


Jina la Kitabu : Malumbano Baina ya Sunni na Shia
Mwandishi : Sheikh Abdilahi Nassir
Mchapishaji : Ahlul Bayt Centre

PDF Download:
http://www.shia-maktab.info/index.php/e ... ad&fid=263

Short tafsir on Suratul Buruj - part 2

The Destruction of Baqee. This cemetery contains t[…]

NAHJAL BALAGHA

The Lowliness Of The World In Allah’s Eyes […]

Eid Mubarak!

اللَّهُ اكْبَرُ ٱللَّهُ اكْبَرُ allahu akbar allah[…]

Ask4help Counseling Helpline