Discuss & Debate | Share | Learn

www.ask.or.tz

Our Partners
Do you need help with something? Is your computer acting weird? Or is that recipe just not working out? This is the place to ask for advice and help from the 'professional' membership of Ask!

Moderator: Syed Kazim

#13890
When i came here and i saw the problems in Syria, i could have returned. The Howza i am studying told me before Ramadhan that if i wanted to cancel the next year and return. But i refused. I said that along with all problems i must stay. I have come for studies. So it does not come the question of tutelaging the lives of scholars. Sometimes we eat nothing, sometimes we eat something which u can never call it food because that we have no money or that we can never cook also. And Arabs here are hopeless. They are very different from the Omani Arabs who are in Tanzania who are very good and hospitable. The Arabs in Syria are white as europeans but very rude, very inhuman. Their local food is yoghurt and bread. They are also very poor. We can not blame them. the rich here and poor have boundaries between. A Syrian rich can never eat one table with a poor rich. A Syrian rich can never be buried in the same graveyard in which a poor Syrian is buried. A Syrian rich looks at a Syrian poor as a "dog" and a poor looks at a rich as a "God" or something like that. You can now imagine in what life we are!

Hussein
#13891
Bisamillahirahmanirahim. Amesema Mwenye utukufu wote: "Amtegemea Mwenyezi Mungu, yeye humtosheleza".

Ni kweli kwamba tunapata mafunzo mengi kutoka kwa maulamaa wote ikiwa sawa na kwamba walijitoa nafsi zao na mali zao katika njia ya Allah (swt). Uislamu umeharamisha kuomba na kuwategemea wengine badala ya Mwenyezi Mungu (swt) na umehimiza kwamba tujitole kwa ajili ya dini ya Allah (swt) na ndipo akasema Mwenye utukufu wote: "Watoke kundi miongoni mwenu wakatafute elimu..." (Qura'ni takatifu) na akasema Bwana Mtume (saaw)," Tafuteni elimu hata mukibidi kwenda china" na katika hadithi nyengine akasema Mtume (saaw)," Wino la watafutaji elimu ni bora kuliko damu ya mashahidi"-midad ulamaa afdal min dimaa shuhadaa". Na ndipo kutafuta elimu kukawa Wajibulkifaya na pia katika wakati huohuo wawepo waislamu ambao wawasaidie hao wanaoshughulika na kutuafta elimu kimali na kwa uwezo wote kwa sababu wajib la kujitaftia elimu ya dini limeondoka kwa wengine. Lakini hii ndio hali ya waislamu wa sasa hasa waliopo kwetu ambao wanaishi kwa uongo, kudanganya, kutotimiza ahadi, uifsadi na mambo mengi mpaka ikawa hakuna hata mmoja ambae anakula rizki ya halali hivyo imekuwa shida kujitoa nafsi zao na mali zao katika njia ya Allah (swt) kisha wakabaki kumsibiria Mahdi mwahidiwa au Mtume Issa waje walaze mapanga zao kwenye vichwa vyao.

Wassallamunalaikum

https://youtu.be/-3CI0FBr5ss?si=UNYS9HXtS24Gbr-P

Ramadan Daily Duas - # 7

*Dua for Day 7 | Holy Month of Ramadhan* O ALLAH,[…]

Suratul Mulk (The Kingdom)

Short Tafsir on Suratul Mulk (The Kingdom) - Part […]

Ramadan Daily Duas - Day 6

*Dua for Day 6 | Holy Month of Ramadhan* O ALLAH,[…]

Ask4help Counseling Helpline