- 31 Aug 2007, 22:44
#11166
Mimi ni RAMADHANI,
Nilimpa ujumbe Rajab akuletee,
Nikamtuma na Shaaban akuambie kuwa nipo njiani,
NAKUJA na mke wangu SWAUMU na watoto wetu watatu:
RAHMA, MAGHFIRA NA TAUBA,
Pia sijamuacha rafiki yangu wa dawamu QURAAN, ndugu yake QIYAMU LAIL,
Sikai kwa muda mrefu, mwezi tu ukisha tutaondoka, kumpisha
EID -EL-FITRI na hatimae Sitat - Shawwal.
Tupokee kwa mapenzi yote na ututunze kwa kipindi hiki kifupi kwani tukiagana huna uhakika wa kutuona tena mwakani.
RAMADHANI MUBARAK !!
“Enyi Mlioamini! Funga ya Ramadhani imefaradhishwa kwenu kama ilivyokafaradhishwa kwa wale waliokuwa kabla yenu ili mpate TAQWAÃ
(QURAAN Surah Al-Baqarah 2:183)
ANOTHER TRANSLATION:"
"183, Enyi mlio amini! Mmeandikiwa Saumu, kama waliyo andikiwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kuchamngu. *** " FROM
http://www.quranitukufu.net/002.html

- Watch 'The Mukhtar Narrative / Mukhtar Nama' on Ask - a series narrating Mukhtar al-Thaqafi's revenge for Karbala.
- Watch 'The life of the Father of Chemistry, Jabir ibn Hayyan'