Maana ya Hijja - Shk. Abdillahi Nassir, Mombasa, 1995

Videos and Audios of lectures and majalises by Sheikh Abdillahi Nassir from the 1980's onwards digitized by Ask.
User avatar
abuali
Ask Admin
Posts: 3664
Joined: 30 Sep 2004, 19:33
Location: Dar es Salaam
Contact:

Maana ya Hijja - Shk. Abdillahi Nassir, Mombasa, 1995

Postby abuali » 03 Oct 2013, 08:00

(bismillah)
(salam)Sheikh Abdillahi Nassir aongea kuhusua maana ya Hijja, safari ya mayuumin kuenda kufanya ibada ya hijja kweneye nyumba ya Mungu iitwayo Kaaba katika mji wa Makkah, Saudi Arabia.

Katika maongezi agusa:

1. Swali ya Quran kuongea maudhui halafu ghafla kuruka kwenda maudhui nyingine.
2. Nchi zinazotawaliwa na vyombo vya habari
3. Hijja kuwezesha waislamu wajue hali halisi ya waislamu wenzawo bila kuongopewa na vyombo vya habari
5. Dola ya Saudi hawaruhusu waislamu kuingiliana na kupata habari.
6. Kundi alichotakiwa aende nacho wakashikwa wote na dola ya Saudi wauliza alipo Abdillahi Nassir.
7. Uislamu si chama, ni haraka (movement).
8. Salah ya Ijumah - waislamu kuweza kupata habari ya waislamu wenzawo
9 Jinsi Malcom X alibadilika baada ya Haj
10. Ikiwa kuikutana na kupatana habari imepigwa marufuku Haj, waislamu watajuaje hali halisi ya waislamu wenzao?

Mombasa, 1995
[Sheikh Abdillahi Nassir talks about the meaning of Haj, the pilgrimage to the site of Holy Kaaba in the city of Makkah in Saudi Arabia.]

Return to “Sheikh Abdillahi Nassir - Videos/Audios in Swahili”

Who is online

Users browsing this forum: No registered users and 2 guests