Discuss & Debate | Share | Learn

www.ask.or.tz

Our Partners
Videos and Audios of lectures and majalises by Sheikh Abdillahi Nassir from the 1980's onwards digitized by Ask.
#17312
(bismillah)
(salam)



Sheikh Abdillahi Nassir aongea kuhusua maana ya Hijja, safari ya mayuumin kuenda kufanya ibada ya hijja kweneye nyumba ya Mungu iitwayo Kaaba katika mji wa Makkah, Saudi Arabia.

Katika maongezi agusa:

1. Swali ya Quran kuongea maudhui halafu ghafla kuruka kwenda maudhui nyingine.
2. Nchi zinazotawaliwa na vyombo vya habari
3. Hijja kuwezesha waislamu wajue hali halisi ya waislamu wenzawo bila kuongopewa na vyombo vya habari
5. Dola ya Saudi hawaruhusu waislamu kuingiliana na kupata habari.
6. Kundi alichotakiwa aende nacho wakashikwa wote na dola ya Saudi wauliza alipo Abdillahi Nassir.
7. Uislamu si chama, ni haraka (movement).
8. Salah ya Ijumah - waislamu kuweza kupata habari ya waislamu wenzawo
9 Jinsi Malcom X alibadilika baada ya Haj
10. Ikiwa kuikutana na kupatana habari imepigwa marufuku Haj, waislamu watajuaje hali halisi ya waislamu wenzao?

Mombasa, 1995
[Sheikh Abdillahi Nassir talks about the meaning of Haj, the pilgrimage to the site of Holy Kaaba in the city of Makkah in Saudi Arabia.]
NAHJAL BALAGHA

The Lowliness Of The World In Allah’s Eyes […]

Eid Mubarak!

اللَّهُ اكْبَرُ ٱللَّهُ اكْبَرُ allahu akbar allah[…]

Eid Mubarak!

"Eid Mubarak to all! After 30 days of fasting[…]

Ramadhan Daily Duas # 29

Dua for Day 29 | Holy Month of Ramadhan O Allah, […]

Ask4help Counseling Helpline